MATUKIO PICHA : BUNGE LAAHIRISHWA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Friday, 7 February 2020

demo-image

MATUKIO PICHA : BUNGE LAAHIRISHWA

PMO_7807
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_7882
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson  akiongozwa na wapambe  kutoka kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_7910
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PMO_7960
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *