Bernard Membe. |
CHAMA tawala nchini Tanzania CCM kimemfukuza uanachama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Bernard Membe. Membe alikuwa akikabiliwa na tuhuma za maadili pamoja na viongozi wengine waandamizi wengine wawili makatibu wakuu wa zamani Yusuf Makamba na Abdulrahman Kinana, ambao wao hawajafukuzwa.
Makamba amesamehewa, huku Kinana akionywa.
-BBC
No comments:
Post a Comment