RAIS DK MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA BODI YA USAJILI YA WAKANDARASI NA UHAMIAJI MKOANI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 25 November 2019

RAIS DK MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI KATIKA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA BODI YA USAJILI YA WAKANDARASI NA UHAMIAJI MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Idara ya Uhamiaji, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi katika eneo linapojengwa jengo la Makao Makuu ya Uhamiaji mjini Dodoma.

Sehemu ya Jengo hilo la Makao Makuu ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi kama linavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment