RAIS DK MAGUFULI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA WA CHUO KIKUU CHA DODOMA UDOM KATIKA MAHAFALI YA 10 YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA MKOANI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 21 November 2019

RAIS DK MAGUFULI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA WA CHUO KIKUU CHA DODOMA UDOM KATIKA MAHAFALI YA 10 YALIYOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA CHIMWAGA MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga ulipo chuoni hapo Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa Kada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya kutunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa  katika Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wahitimu wa Kada mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM mara baada ya kutunukiwa Didrii ya Heshma ya Udaktari wa Falsafa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa  katika Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wakati wa sherehe za Mahafali ya 10 yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.

ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa pamoja na Makamu wa Mkuu wa Chuo cha UDOM Profesa Fausine Bee kabla ya kuanza kwa sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.

Sehemu ya Wahitimu wa kada mbalimbali wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM wakiwa wanasubiri kutunikiwa na Mkuu wa Chuo hicho Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma. PICHA ZOTE NA IKULU.

Mmoja ya Wahitimu wa Chuo cha Kikuu cha Dodoma UDOM akisoma kwa makini Wasifu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za Mahafali ya 10 ya Chuo hicho.

No comments:

Post a Comment