WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 11 October 2019

WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI JIMBO LA NZEGA VIJIJINI

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Jimbo la Nzega vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla kwa nyakati tofauti akizungumza na wananchi, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wadau mbalimbali wa maeneo mbalimbali ya jimbo la Nzega Vijijini alipofanya mikutano ya kuimarisha Chama na kutatua kero za wananchi.

Baadhi ya wakazi wa Jimbo la Nzega vijijini wakimpokea kwa shangwe Mbunge wao ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kutatua kero zao.

No comments:

Post a Comment