TMA YAWANOA WANAHABARI JUU YA MWELEKEO MSIMU WA MVUA ZA NOVEMBA 2019 HADI APRILI 2020 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 9 October 2019

TMA YAWANOA WANAHABARI JUU YA MWELEKEO MSIMU WA MVUA ZA NOVEMBA 2019 HADI APRILI 2020

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akifungua warsha kwa wanahabari (hawapo pichani) juu ya kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020. Warsha hiyo ilifanyika katika ofisi za TMA, Makao Makuu, Ubungo Plaza Dar es Salaam. Kulia pamoja naye ni Ofisa Uhusiano wa TMA, Monica Mutoni akifuatilia.


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akifafanua jambo kwenye warsha kwa wanahabari (hawapo pichani) juu ya kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020. Kulia pamoja naye ni Ofisa Uhusiano wa TMA, Monica Mutoni akifuatilia.

Mtaalamu wa hali ya hewa, Bw. Abuubakar Lungo akiwasilisha mada kwenye warsha kwa mwanahabari kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020 katika ofisi za TMA, Makao Makuu, Ubungo Plaza Dar es Salaam.

Mmoja wa washiriki wa warsha kwa wanahabari juu ya kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020 akichangia jambo katika warsha hiyo. 

Mmoja wa washiriki wa warsha kwa wanahabari juu ya kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020 akichangia jambo katika warsha hiyo. 

Picha ya pamoja kwa washiriki wa warsha kwa wanahabari juu ya kujadili mwelekeo wa msimu wa mvua za mwaka kwa kipindi cha mwezi Novemba 2019 hadi Aprili 2020. 

No comments:

Post a Comment