RAIS DK MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE KUANZA ZIARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 4 October 2019

RAIS DK MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE KUANZA ZIARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea  mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi  mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani  Mbozi. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment