WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA BIRAMIDS MISRI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 9 July 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA BIRAMIDS MISRI...!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akishika jiwe lililotumika kujengea Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa za wajasiriamali, baada ya kutembelea Piramidi, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ndani ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anashuka kwenye Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amepanda juu ya Piramidi, akionesha jambo wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo MisriJulai 9.2019(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment