RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KYAKA, RWAMISHENYE, KEMONDO NA MULEBA AKITOKEA KARAGWE MKOANI KAGERA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 12 July 2019

RAIS DK MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KYAKA, RWAMISHENYE, KEMONDO NA MULEBA AKITOKEA KARAGWE MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Rwamishenye wakati akitokea Karagwe mkoani Kagera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakati akielekea Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape pamoja na wananchi wa Rwamishenye Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kuzungumza nao wakati akitokea Karagwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na Mtume Venon Fernandes wa Kanisa la Agape pamoja na wananchi wa Rwamishenye Bukoba mkoani Kagera mara baada ya kuzungumza nao wakati akitokea Karagwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Muleba mjini mara baada ya kuzungumza na wananchi wa eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mbele ya Kaburi la Marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nyumbani kwa marehemu Mhandisi Leopard Mjungi ambaye alikuwa Mkurugenzi wa barabara Kuu kutoka Wizara ya Ujenzi mara baada ya kuwasili kijijini hapo Muleba mkoani Kagera. Marehemu Mhandisi Mjungi alifariki mwaka 2007. 

No comments:

Post a Comment