MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Tuesday, 16 July 2019

demo-image

MAJALIWA AKABIDHI MSAADA WA SH. MILIONI 2.5 KWA MJASIRIAMALI WA KIGOMA

PMO_0858+%25281%2529
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi Bw. Leonard  Nkamba wa kijiji cha Kambanga wilayani Kasulu msaada wa sh. milioni 2.5 ili zimwezesha kununua vitendea kazi vya kisasa vya kumsadia kufanya kazi yake ya kuchonga vyombo mbalimbali vya mezani kwa kutumia miti. Makabidhiano hayo yalifanyika mjini Kigoma Julai 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *