VODACOM TANZANIA WATUNUKIWA TUZO YA NEEC - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 24 June 2019

demo-image

VODACOM TANZANIA WATUNUKIWA TUZO YA NEEC

IMG_0935
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Kassim Majaliwa (Kulia) akampongeza na kumkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Bi Rosalynn Mworia (kushoto) kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kuinua wananchi kiuchumi wakati wa semina ya uwezeshaji wananchi kiuchumi uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.

IMG_0930
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya kiuchumi katika semina ya uwezeshaji wananchi kiuchumi iliyofanyika jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.  

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *