RAIS TSHISEKEDI WA DRC ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM, AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 15 June 2019

RAIS TSHISEKEDI WA DRC ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM, AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipewa maelezo na  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya  mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya
Mbuzi’ jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe  kwa viongozi wa kampuni ya upakuaji Makontena ya Tanzania International Containers Terminal Services (TICTS)  alipotembelea Bandari ya Dar es salaam
jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe  kwa viongozi wa kampuni ya upakuaji Makontena ya Tanzania International Containers Terminal Services (TICTS)  alipotembelea Bandari ya Dar es salaam jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akisalimia wananchi wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya  mradi wa Reli ya Kisasa eneo la Vingunguti
‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya  mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

No comments:

Post a Comment