RAIS DK MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI YA KAMPUNI YA TAIFA GAS TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 26 June 2019

RAIS DK MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI YA KAMPUNI YA TAIFA GAS TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa  Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam lJuni 25, 2019.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi wengine akifunia pazia kuashiria kuzinduliwa kwa  Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam Juni 25, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mikono wananchi kwa furaga huku akiwa na msichana  baada ya kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam Juni 25, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment