RAIS DK MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 10 June 2019

RAIS DK MAGUFULI AMJULIA HALI MAMA MARIA NYERERE...!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam walipofika kumjulia hali leo. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimuombea mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment