Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni
jijini Dodoma Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
|
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini
Dodoma Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
|
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma Juni 20,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
|
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla,
Bungeni jijini Dodoma, Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
|
No comments:
Post a Comment