Wafanyakazi na viongozi wa TMA wakimlaki Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi. |
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akizungumza na kutoa shukrani kwa waliompokea. |
No comments:
Post a Comment