HAPPY BITHDAY PRESIDENT FELIX TSHISEKEDI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 14 June 2019

HAPPY BITHDAY PRESIDENT FELIX TSHISEKEDI

Rais Dkt. Magufuli amumwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi  keki ya Birthday ampongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019.

Rais Dkt. Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam. June 13, 2019.

No comments:

Post a Comment