HALOTEL TAIFA STARS AFCON SUPPORT - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 22 June 2019

HALOTEL TAIFA STARS AFCON SUPPORT



Afisa uhusiano kampuni ya simu Halotel Stella Pius akizungumza katika harambee ya kuchangia Taifa Stars iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Halotel ilichangia shilingi Million 10.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, akipeana mkono na Afisa Uhisiano wa Halotel, Stella Pius, wakati wa uzinduzi wa harambee ya kuchangia Taifa Stars ambapo jumla ya Shilingi Million 370 zilichangishwa papo hapo.






No comments:

Post a Comment