BENKI YA STANBIC YATOA MAFUNZO KWA MENEJA RASILIMALI WATU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 26 June 2019

BENKI YA STANBIC YATOA MAFUNZO KWA MENEJA RASILIMALI WATU

Mtaalamu wa masuala ya Kiuchumi, Paulsen Mrina (kulia shati la bluu bahari) akiwaelezea Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali jinsi ya kutunza fedha, katika semina ya kuwawezesha kiuchumi iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.

Meneja Rasilimali Watu kutoka kampuni mbali mbali wakijadili jambo katika semina kwaajili ya kuwapatia mafunzo ya kuwawezesha kiuchumi, iliyoandaliwa na Benki ya Stanbic Tanzania, Coral Beach Hotel, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment