AIS DK MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 15 June 2019

AIS DK MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia 54 ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza  mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiipungia mkono ndege iliyombeba Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia 54 ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo ilipokuwa ikiondoka
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo anayeagana na Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Profesa palagamaba Kabudi  baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam Juni 14, 2019.

No comments:

Post a Comment