RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS WA NAMIBIA, HAGE GEINGOB IKULU YA NCHINI NAMIBIA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 28 May 2019

RAIS DK MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS WA NAMIBIA, HAGE GEINGOB IKULU YA NCHINI NAMIBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago na Picha ya Wanyama mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Hage Geingob mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Namibia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya vitabu vya Kamusi Kiswahili na Kingereza pamoja na Vitabu mbalimbali vya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya kujifunza lugha hiyo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment