WAFANYAKAZI NMB WAKISAIDIA KITUO CHA WATOTO YATIMA KURASINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 10 February 2019

WAFANYAKAZI NMB WAKISAIDIA KITUO CHA WATOTO YATIMA KURASINI

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB jijini Dar es Salaam wakimkabidhi Mamamlezi (kulia) wa Kituo cha Watoto yatima cha Kurasini kilichopo jijini Dar es Salaam sehemu ya msaada walioukabidhi kwa watoto wa kituo hicho walipotembelea kuwafariji watoto.

Sehemu ya wafanyakazi wa Benki ya NMB jijini Dar es Salaam wakikabidhi maboksi ya vitu mbalimbai kwa watoto wa Kituo cha Yatima cha Kurasini kilichopo jijini Dar es Salaam.

 Mama mlezi wa Kituo cha Watoto yatima cha Kurasini (kulia) akiwashukuru wafanyakazi wa NMB mara baada ya kupokea msaada wao.

No comments:

Post a Comment