MKURUGENZI IDARA YA URATIBU MAAFA OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 17 January 2019

MKURUGENZI IDARA YA URATIBU MAAFA OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI

Mkurugenzi Mkuu  wa Mzinga Holdings Company, Meja Jenerali, Seif Makona ambaye ndiyo Mkandarasi anayejenga Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa serikali akiteta na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe, wakati Mkurugenzi Matamwe alipotembelea eneo la ujenzi wa ofisi hiyo, leo tarehe 17 Januari, 2019.

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akiongea na moja ya mafundi kutoka Mzinga Holdings ompany wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma, leo tarehe 17 Januari, 2019.

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe akiongea na Mratibu Ujenzi Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka Mzinga Holdings Company wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Ofisi hiyo,  katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma, leo tarehe 17 Januari, 2019.

No comments:

Post a Comment