Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma ya Maendeleo ya Jamii Peter Serukamba akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya siku ya mtoto yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kwa shabaha ya kuwasaidia watoto duniani iliyoafanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwakilishi wa UNICEF Nchini Tanzania, Maniza Zaman (wa pili kulia), Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Atupele Mwambene na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Tanzania, Joel Festo. |
No comments:
Post a Comment