VODACOM YAZINDUWA DUKA LA HUDUMA WILAYA YA HAI, KILIMANJARO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 25 October 2018

VODACOM YAZINDUWA DUKA LA HUDUMA WILAYA YA HAI, KILIMANJARO


Mkuu wa Wilaya ya Hai, Bw. Lengai Ole Sabaya akizindua rasmi duka la Vodacom Tanzania jana wilayani hapo ikiwa ni mpango wa kuhahakikisha wanafikia wateja wao wote, popote walipo. Kushoto ni Agripina Boisafi, Mkuu wa Duka hilo. 

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Bw. Lengai Ole Sabaya akisaini kitabu cha kumbukumbu baada ya kuzindua duka la Vodacom Tanzania wilayani hapo jana. Wa tatu kulia ni Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Brigita Steven na Mkuu wa duka hilo, Bi Agripina Boisafi (wa kwanza kushoto) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom. 

No comments:

Post a Comment