RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU DK KIKWETE IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 23 October 2018

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU DK KIKWETE IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018 Picha na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018 Picha na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 23, 2018 Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment