Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols kizungumza na wana Klabu ya Biashara Mkoa wa Kagera Ukumbi wa ELCT, Bukoba Hotel. |
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols (kushoto) akimtunuku cheti mmoja wa wafanyabiashara katika Klabu hiyo kutambua nidhamu ya kibiashara (uaminifu) anaoionesha kwa NMB. |

KLABU ya Wafanyabiashara ya NMB Bukoba imekutana na uongozi wa juu wa Benki ya NMB katika mkutano wa kawaida kuzungumzia changaamoto mbalimbali wanazokutana nazo na namna ya kuzitatua.
Katika mkutano huo, uliohudhuriwa na Mkurugenzi wa Mikopo wa NMB, Bw. Tom Borghols aliwataka wafanyabiashara kutoa ushauri bora ambao wanaamini utajenga ushirikiano kati ya pande hizo na hatimaye kufanya vizuri katika biashara zao. Mbali na hayo washiriki walipata mafunzo mbalimbali ya kibiashara yaliowasilishwa na wataalam yakilenga kukuza biashara zao.
Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya NMB, Bw. Tom Borghols kizungumza na wana Klabu ya Biashara Mkoa wa Kagera Ukumbi wa ELCT, Bukoba Hotel. |
Sehemu ya Wafanyabiashara wa Klabu ya NMB Bukoba wakifuatilia mkutano huo na NMB. |

No comments:
Post a Comment