MKURUGENZI MKUU MPYA CRDB AJITAMBULISHA KWA PM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 12 October 2018

MKURUGENZI MKUU MPYA CRDB AJITAMBULISHA KWA PM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Banki ya CRDB Abdulmajid Nsekela alipomtembelea kujitambulisha. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ofisini Magogoni Ikulu jijini Dar es salaam, Oktoba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment