WAFANYAKAZI NMB WASHIRIKI KUFANYA USAFI, KUSAIDIA MAENEO MBALIMBALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 16 September 2018

WAFANYAKAZI NMB WASHIRIKI KUFANYA USAFI, KUSAIDIA MAENEO MBALIMBALI

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (anayekabidhi) pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo akimkabidhi Mtendaji wa Soko la Samaki Feri, Mkuu Hanje (anayepokea kulia) vifaa mbalimbali vya kufanyia usafi katika soko hilo. Wafanyakazi wa NMB leo wamejitolea kufanya usafi katika soko hilo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya usafi.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishiriki kufanya usafi katika soko la Feri lililopo jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Mkoa wa Dodoma wakitoa msaada kwenye wodi ya akinamama Kituo cha Afya cha Makole cha jijini Dodoma walipofika hapo mwisho wa wiki kufanya usafi pamoja na kutoa misaada ya vitu mbalimbali.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishiriki kufanya usafi katika ufukwe wa soko la Feri lililopo jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishiriki kufanya usafi katika eneo la soko la Feri lililopo jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishiriki kufanya usafi katika ufukwe wa soko la Feri lililopo jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Makao Makuu jijini Dar es Salaam wakijitolea kufanya usafi eneo la Coco Beach Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB Makao Makuu jijini Dar es Salaam wakijitolea kufanya usafi eneo la Coco Beach Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB mkoani Kyela Mkoa wa Mbeya wakishiriki kufanya usafi katika eneo la kituo cha mabasi kuungana na jamii.

WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Tanzania jana walijitokeza kufanya usafi pamoja na jamii maeneo mbalimbali Tanzania Bara na Visiwani pamoja na kutoa msaada wa vitu kwa wahitaji na vifaa vya kufanyia usafi katika baadhi ya maeneo.

Kwa jijini Dar es Salaam wafanyakazi hao wakiongozwa na viongozi waandamizi wa benki hiyo walifanya usafi eneo la Coco Beach pamoja na Soko la Samaki la Feri kwa kushirikiana na wananchi waliojitokeza kufanya usafi kwenye maadhimisho ya usafi duniani.

Hata hivyo mbali na kufanya usafi katika Soko la Feri walitoa msaada wa vifaa vya kufanyia usafi katika soko hilo, ikiwa ni kuhamasisha usafi kwa jamii na kuunga mkono shughuli hizo ambazo ni muhimu kwa jamii yoyote.

Akikabidhi vifaa vya kufanyia usafi Soko la Feri, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd alisema huo ni utaratibu wa kawaida wa benki hiyo kujitolea ama msaada au kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kijamii ili kujenga ushirikiano kwa jamii wanayoihudumia.

Alisema Soko la Feri linahudumia watu mbalimbali ambao ni wateja wa Benki hiyo hivyo wana kila sababu kusaidia kuboresha huduma katika soko hilo. Vifaa alivyokabidhi kwa uongozi wa Soko hilo mara baada ya kuwasili ni pamoja na mifagio, reki, makoleo, mifuko maalum ya kuhifadhia na kuzolea taka na vifaa vya kujikinga wakati wa kufanya usafi.

Wakati zoezi hilo likifanyika Dar es Salaam na mikoa mbalimbali pia wafanyakazi wa Benki hiyo walifanya usafi maeneo mbalimbali pamoja na kutoa misaada kwa wahitaji hasa wagonjwa hospitalini.   miko unga mkonopamoja na wafanyakazi wa benki hiyo akimkabidhi Mtendaji wa Soko la Samaki Feri, Mkuu Hanje vifaa mbalimbali vya kufanyia usafi katika soko hilo. 

Mkoani Dodoma wafanyakazi wa benki hiyo mbalimna kufanya usafi walitembelea wodi ya akinamama Kituo cha Afya cha Makole na kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa kituoni hapo. Mkoani Mbeya wafanyakazi walifanya usafi katika vituo vya mabasi pamoja a eneo la Kasumulo mpaka wa Tanzania na Malawi. 

Wafanyakazi wa Benki ya NMB mkoani Kyela Mkoa wa Mbeya wakishiriki kufanya usafi katika eneo la kituo cha mabasi kuungana na jamii.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB mkoani Mbeya eneo la Kasumulo mpakani mwa Tanzania na Malawi wakishiriki kufanya usafi kuungana na jamii.

Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam wakishiriki kufanya usafi katika ufukwe wa soko la Feri lililopo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment