WAZIRI MKUU MAJALIWA 'AONJA ASALI' YA DREAMLINER MWANZA-DAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 23 August 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA 'AONJA ASALI' YA DREAMLINER MWANZA-DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisafiri kwa Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner wakitoka Mwanza kwenda Dar es salaam kupitia KIA, Agosti 22, 2018. (Picha na Chriss Mfinanga wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phillip Mangula (watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (kulia) kwenye uwanja wa  Ndege wa Mwanza kabla kuondoka kuelekea Dar es salaam kwa ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner Agosti 22, 2018. (Picha na Chriss Mfinanga  wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment