THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 14 January 2021

MAMIA YA WASTAAFU WANAOLIPWA PENSEHENI NA HAZINA WAHAKIKIWA KANDA YA ZIWA

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA ZANZIBAR PAMOJA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR CHATO MKOANI GEITA

MTWIVILA CITY YAIFUATA IVAMBINUNGU FC FAINALI YA ASAS SUPER LEAGUE

WAKULIMA WAFUNDISHWE KILIMO BORA CHA UMWAGILIAJI - KUSAYA

ZAIDI YA BILIONI 5.799 KUTEKELEZA MIRADI MINNE YA MAJI SONGEA

KASEKENYA: ONGEZENI UBUNIFU NA KUZINGATIA MAADILI

TIGO YVUKA LENGO NA USHINDE: “Ili kuwa mshindi, kila wakala alitakiwa kuvuka lengo alilopewa, kulingana na historia ya miamala yake ya kila siku. Zaidi ya mawakala 4,000 walifanikiwa kuvuka malengo yao na kushinda zaidi ya shilingi milioni 400.” Angelica Pesha, Mkuu wa Kitengo cha Tigo Pesa #TigoPesaNiZaidiYaPesa #TigoPesaWakalaPush TIGO PESA BOOST MTAJI!: “Nawashukuru Tigo kwa kuwa kupitia #TigoPesaWakalaPush wameweza kuniboost mtaji wangu” Piason Baruti, Wakala Tigo Pesa na Mshindi wa Milioni 1.5 #TigoPesaNiZaidiYaPesa Mkuu Kitengo cha Tigo Pesa-Tz akiwa na katika picha ya Pamoja na washindi WASHINDI KANDA ZOTE! Tumepata washindi kutoka kanda zetu 4,Pwani, kanda ya Ziwa, kanda ya Kusini na kanda ya kaskazini. Na hawa ni washindi waliofanya vizuri zaidi katika kanda ya Pwani.NIMEONGEZA MTAJI: “Kupitia promosheni hii ya Tigo mtaji wangu umeongezeka hivyo nimeweza kuwahudumia wateja wengi zaidi” Neema Swai-Wakala Tigo Pesa & Mshindi Milioni 1.2 #TigoPesaNiZaidiYaPesa WakalaAUNGANA NA MAWAKALA WA TIGO PESA KUHITIMISHA PROMOSHENI YA TIGO PESA WAKALA PUSH, YATOA ZAWADI KWA MAWAKALA MBALIMBALI

HAYA HAPA MAGAZETI MAKINI YA TANZANIA YALIYOTUFIKIA LEO