RAIS DKT. SAMIA, RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA WAKAGUA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 15 June 2025

RAIS DKT. SAMIA, RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA WAKAGUA UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO DODOMA

 


Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)Dkt. Akinumwi Adesina wakagua maendeleo ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Jijini Dodoma

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza.
Wananchi wa Nala jijini Dodoma wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani), mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato pamoja na ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma yenye urefu wa km (112.3) tarehe 14 Juni, 2025.


Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye tukio hilo.

Muonekano wa uwanja huo.

Muonekano wa uwanja huo.

Muonekano wa baadhi ya majengo ya uwanja huo.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakipata maelezo wakazi wakikagua uwanja huo.


Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)Dkt. Akinumwi Adesina wakagua maendeleo ya ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Jijini Dodoma



Waziri wa Ujenzi Abdalaah Ulega, akizungumza.

No comments:

Post a Comment