RAIS DKT. SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA NA WAKAGUZI WASAIDIZI WA JESHI LA POLISI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 9 June 2025

RAIS DKT. SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA MAAFISA NA WAKAGUZI WASAIDIZI WA JESHI LA POLISI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania Jijini Dar es Salaam






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.


 

No comments:

Post a Comment