![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024. |
![]() |
| Wageni mbalimbali wakiwa kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024. |
![]() |
| Mapacha wa Mtume Qaswida Hassan na Hussein wakitumbuiza wakati wa Iftar Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Machi, 2024. |
.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)


.jpg)

No comments:
Post a Comment