MHE, RAIS DKT HUSSEIN MWINYI AWATAKA WATANZANIA KUIANDAA KUPOKEA MAFURIKO YA WATALII NA WAWEKEZAJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 7 May 2022

MHE, RAIS DKT HUSSEIN MWINYI AWATAKA WATANZANIA KUIANDAA KUPOKEA MAFURIKO YA WATALII NA WAWEKEZAJI

Matukio picha katika hafla ya Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar 7-5-2022.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour baada ya kuizindua katika ukumbi wa Hoteli ya Goldeg Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Tuzo ya Muigizaji wa Filamu ya Tanzania Royal Tour na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Utamaduni na Filamu Zanzibar Dkt. Omar Abdalla na (kulia kwa Rais)Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.Dkt.Kiagho Kilonzo.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022.(Picha na Ikulu).

Matukio picha katika hafla ya Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar 7-5-2022.(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment