RAIS SAMIA HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KAMISHENI YA UMOJA WA ULAYA URSULA VON DER LEYEN, BRUSSELS NCHINI UBELGIJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 18 February 2022

RAIS SAMIA HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KAMISHENI YA UMOJA WA ULAYA URSULA VON DER LEYEN, BRUSSELS NCHINI UBELGIJI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 18 Februari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Ursula von der Leyen, Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 18 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment