RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA IFC, SOP DIOP IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 3 February 2022

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA IFC, SOP DIOP IKULU DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya Mazungumzo yao yaliofanyika  Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

No comments:

Post a Comment