NAIBU KATIBU MKUU UCHUKUZI, DKT. POSSI AFANYA ZIARA TMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 7 February 2022

NAIBU KATIBU MKUU UCHUKUZI, DKT. POSSI AFANYA ZIARA TMA

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, akitoa maelekezo ya Serikali kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kulia) pamoja na watendaji wa TMA wakati alipofanya ziara kutembelea idara mbalimbali za hali ya hewa, zilizopo chini ya TMA,  jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi alipofanya ziara kutembelea idara mbalimbali za  TMA,  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa na Utafiti wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, Dkt. Ladislaus Chang’a akifuatilia.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi, akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kulia) pamoja na watendaji wa TMA (hawapo pichani) wakati alipofanya ziara kutembelea idara mbalimbali za hali ya hewa, zilizopo chini ya TMA,  jijini Dar es Salaam.

Meneja wa kituo kikuu cha utabiri cha Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Samwel Mbuya (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, Dkt. Ally Possi (katikati) alipokuwa katika ziar kutembelea TMA. kulia ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akifuatilia.

No comments:

Post a Comment