MHE. RAIS SAMIA AZINDUA TAMASHA LA KWANZA LA UTAMADUNI LA MKOA WA KILIMANJARO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 22 January 2022

MHE. RAIS SAMIA AZINDUA TAMASHA LA KWANZA LA UTAMADUNI LA MKOA WA KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leo tarehe 22 Januari 2022.    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu matumizi ya Chakula cha asili na zana mbalimbali za asili ya Kabila la Kimasai kutoka kwa Chief Jeremia Laizer, wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo tarehe 22 Januari, 2022 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu matumizi ya Chakula cha asili na zana mbalimbali za asili ya Kabila la Kichaga kutoka kwa Chief Prosper wa Kabila hilo, wakati alipotembelea maonesho katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo tarehe 22 Januari 2022 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi.

Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi tarehe 22 Januari 2022, wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Wageni waalikwa pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi tarehe 22 Januari 2022, wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuwahutubia katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leo tarehe 22 Januari, 2022.

Chief Mkuu wa Kabila la Kichaga Chief Mareale akimkabidhi Ngao na Mshale Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kama ishara ya kumkaribisha rasmi kwenye kabila hilo wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo tarehe 22 Januari, 2022 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro.

Baadhi ya Wazee wa Kabila la Kichaga wakimvisha Vazi la Kimila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kumkaribisha kwenye kabila hilo wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo tarehe 22 Januari, 2022 katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment