MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI TANGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 12 September 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI TANGA

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimnadi Mgombea Ubunge  wa CCM katika Jimbo la Tanga Mjini ambaye pia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga, Septemba 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wananchi wa Jiji la Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye  uwanja wa Tangamano jijini humo, Septemba 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wasanii Mrisho Mpoto  (kushoto) na Banana Zoro wakiimba katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga, Septemba 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga, Septemba 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wananchi wa Jiji la Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye  uwanja wa Tangamano jijini humo, Septemba 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment