MATUKIO PICHA : RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DADA YAKE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 17 May 2020

MATUKIO PICHA : RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DADA YAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita. 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment