Sehemu ya msaada uliotolewa na Tanelec Ltd ikiwemo Ndoo 100 za maji Tiririka na Sabuni katoni 100 ikiwa ni kwa ajili ya Mapambano dhidi Ugonjwa wa Covid 19 leo jijini Arusha. |
Vifaa vilivyotolewa leo na Tanelec Ltd kwa Serikali ya mkoa wa Arusha ikiwa ni kusaidia kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona |
Sehemu ya wadau walioshiriki hafla hiyo leo iliyofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha leo jijini hapa. |
Wadau wakifuatilia hotuba ya kumshukuru ilivyokuwa imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo |
Katibu wa Daladala mkoa wa Arusha Said Shariff akipokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo leo jijini Arusha |
Mwenyekiti wa Mtaa wa Levolosi Seif Abdi akipokea vifaa kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo |
Mkuu wa mkoa wa Arusha akiongea Mara baada ya kutoa vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa wakazi wa Jiji la Arusha kwenye maeneo ya Stand masoko na vituo vya Polisi |
Jeshi la Polisi kwa niaba ya Kaimu kamanda wa mkoa wa Arusha Koka Moita wakipokea vifaa ikiwa ni kwa ajili ya vituo vya polisi kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona leo Jijini Arusha. |
No comments:
Post a Comment