Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD) Selwa Hamid na Doroth Mtatifikolo wakiwa kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Utumishi wa Umma Afrika (APSD) yanayofanyika Nairobi nchini Kenya.
Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Pindi Chana.
Maonesho yakiendelea.
Na Mwandishi, Kenya
WATUMISHI wa Bohari ya Dawa (MSD) Selwa Hamid na Doroth Mtatifikolo wakiwa kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Utumishi wa Umma Afrika(APSD) yanayofanyika Nairobi nchini Kenya.
MSD ni miongoni mwa taasisi nne kutoka Tanzania zilizokidhi vigezo vya kushiriki maonesho hayo.Wengine ni TFDA,TRC,Uhamiaji.
Akizungumza alipotembelea banda la MSD Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Pindi Chana amewapongeza MSD kwa kuteuliwa kununua dawa,vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi za SADC na kununua dawa moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji dawa.
No comments:
Post a Comment