RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA KUWAPONGEZA WABUNIFU WA UMEME WA MAJI KUTOKA MKOANI NJOMBE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 13 June 2019

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA KUWAPONGEZA WABUNIFU WA UMEME WA MAJI KUTOKA MKOANI NJOMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akijiandaa kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5 wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu)  na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwasindikiza baada ya kuwakabidhi kifuta jasho cha shilingi milioni 5  kuwakabidhi wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo aliowaita kuwapongeza na kuongea nao pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na wabunifu wa Umeme wa Maji kutoka Njombe Bw. John Akane Mwafute (Mzee Pwagu) na Bw. Jailosi Ngairo pamoja na Mkurugenzi Mkuu na Waandaji wa Kipindi cha Hadubini TBC, Makatibu wakuu wa Wizara ya Nishati, Elimu Sayansi na teknolojia, Viwanda na Biashara, Mkurugenzi Mkuu na wataalamu kutoka TANESCO, Kamishna wa Umeme na Mkurugenzi Mkuu na Wataalamu wa COSTECH Ikulu jijini Dar es salaam Juni 13, 2019.



No comments:

Post a Comment