RAIS MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI, TTMS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 18 January 2019

RAIS MAGUFULI ASHUHUDA MAKABIDHIANO YA MFUMO WA KUTHIBITI MAWASILIANO YA NDANI NA NJE YA NCHI, TTMS


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine meza kuu  wakishuhudia makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) baina ya wakandarasi Bw. James Gabriel Claude CEO wa kampuni ya GVG na Samuel Kiki Gyan Mkurugenzi wa kampuni ya SGS na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA  Dk. James Kilaba katika hafla iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.
Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dk. James Kilaba akiwa kapigwa na butwaa na baadaye kushukuru wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alipomhakikishia kumwongeza mkataba wa miaka mitano kuongoza taasisi hiyo katika  hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya TCRA  Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine meza kuu  wakishuhudia makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) baina ya wakandarasi Bw. James Gabriel Claude CEO wa kampuni ya GVG na Samuel Kiki Gyan Mkurugenzi wa kampuni ya SGS na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA  Dk. James Kilaba katika hafla iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakiwasili katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo wa Kudhibiti Mawasiliano ya Ndani na Nje ya Nchi (TTMS) iliyofanyika makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment