RAIS DKT. SAMIA NA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI, IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 20 November 2025

RAIS DKT. SAMIA NA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI, IKULU DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Kikao Kazi tarehe 19 Novemba, 2025.

Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.

No comments:

Post a Comment