![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuhudhuria Kikao Kazi tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
![]() |
| Waheshimiwa Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiwa kwenye Kikao Kazi kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025. |
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
No comments:
Post a Comment