TASNIA YA HABARI BARANI AFRIKA YATAKIWA KUTUMIKA KUISAIDIA JAMII - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 2 May 2022

TASNIA YA HABARI BARANI AFRIKA YATAKIWA KUTUMIKA KUISAIDIA JAMII

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.  Nape Nnauye (wa kwanza kulia), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi ( wa pili kulia) na baadhi ya viongozi wakipitia  mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa maonesho hayo kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.  Nape Nnauye akisalimiana na Balozi Manfredo Fanti, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania mara baada ya ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Deodatus Balile, akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe.  Nape Nnauye akizungumza wakati akifungua maonesho mbalimbali kuelekea maadhimisho ya siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani yatakayofanyika Mei 3,2022 jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment