MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA SWALA NA BARAZA LA EID KITAIFA JIJINI DAR ES SALAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 31 July 2020

MAJALIWA AZUNGUMZA KATIKA SWALA NA BARAZA LA EID KITAIFA JIJINI DAR ES SALAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika  Baraza la Eid El Adh’haa  lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika  Baraza la Eid El Adh’haa  lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Add caption

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya  Eid El-Adh’haa iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa  kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Suleiman Kova katika  Swala na Baraza la Eid El Adh’haa  kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment