MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI KATIKA SHULE YA BWENI YA LUCAS MALIA, WILAYANI RUANGWA. - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 16 March 2020

MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI KATIKA SHULE YA BWENI YA LUCAS MALIA, WILAYANI RUANGWA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua bwalo la chakula na madarasa, katika shule ya sekondari ya bweni ya Lucas Malia, iliyopo wilayani Ruangwa, katika Mkoa wa Lindi, Machi 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari ya bweni ya Lucas Malia, baada ya kukagua madarasa na bwalo la chakula, katika shule hiyo, iliyopo wilayani Ruangwa, Lindi, Machi 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


No comments:

Post a Comment